Nikufahamu by Evelyn Wanjiru Mp3 Download – Insurance Blog
Connect with us

Insurance Blog

Advertising

Nikufahamu by Evelyn Wanjiru Mp3 Download

Advertising

Foreign Gospel Songs

Nikufahamu by Evelyn Wanjiru Mp3 Download

Download Evelyn Wanjiru – Nikufahamu MP3 DOWNLOAD

Gospel Song Artist Evelyn Wanjiru realized powerful worship songs titled “Nikufahamu” that will transform you, and remain blessed.

Advertising

Listen & Download Nikufahamu Mp3 Download by Evelyn Wanjiru Below:-

DOWNLOAD HERE

Advertising

 

LYRICS: LYRICS

Nikufahamu zaidi, Bwana
Nikujue zaidi, Yesu
Nikufahamu zaidi, ewe
Nikuishie milele, Bwana
Nataka nitembee na wewe wakati wowote
Nitembee kwa nuru yako baba
Nishirikiane na wewe kwa kila jambo
Ongoza hatua zangu ewe baba
Ongoza hatua zangu we ewe baba
Ongoza hatua hatua hatua zangu, ongoza
Wewe ni mume wa wajane
Baba wa yatima, mfariji wa waliofiwa
Mtetezi wa wanjonge
Uwaponya waliovunjwa mioyo, mioyo we
Na kuziganga jeraha zao, oh baba
Hawa wote tegemeo lao ni wewe baba, ndiposa wanasema
Nikufahamu, nikujue
(Kama Musa nionyeshe njia zako)
(Siyo matendo pekee)
(Nikae miguuni pako)
(Nikufahamu wewe)
(Nakupenda na moyo wangu wote baba)

Advertising

Advertising
Continue Reading
You may also like...
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Foreign Gospel Songs

To Top
escort