Asante by Evelyn Wanjiru Mp3 Download

Download Evelyn Wanjiru – Asante MP3 DOWNLOAD

Gospel Song Artist Evelyn Wanjiru realized powerful worship songs titled “Asante” that will transform you, and remain blessed.

Listen & Download Asante Mp3 Download by Evelyn Wanjiru Below:-

DOWNLOAD HERE

 

LYRICS: LYRICS

Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu

Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako

Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa

Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda

Kwa wema wako, kwa wema wako
Kwa wema wako, kwa wema wako

Pokea sifa, pokea sifa
Pokea sifa, pokea sifa

Tazama yale Mungu ametenda
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu
Ya kwamba Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza

Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda

Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu

Uombalo utapewa
Utafutalo utaona
Sikio lake si zito
Kusikia ombi lako

Furahia ndani ya Yesu
Mpe ibadi yako

Mwaminifu, mwaminifu
Mwaminifu, mwaminifu
Asante Yesu, Asante Yesu
Asante Yesu, Asante Yesu

Leave a Comment