Yesu Wangu by Alice Kimanzi Mp3 DOWNLOAD

Alice Kimanzi – Yesu Wangu MP3 DOWNLOAD

Foreign Gospel Songs Artist Alice Kimanzi releases powerful worship songs titled “Yesu Wangu” that will bless you in a great way and refresh your soul.
This song is available on all Digital Music Distribution outlets worldwide, and also you can get it here on Impacttunes.
Listen & Download “Yesu Wangu Mp3 Download” by Alice Kimanzi Below:-

DOWNLOAD MP3 SONG

The (Gospel Song) you are about to listen to is highly inspired by the leading of the Holyspirit through his servant to bless you. We have seen the Future! I can see the whole world worshipping this JESUS!
The earth must be filled with the knowledge of the glory of the Lord as the waters cover the seas. This is my dream! A worship atmosphere of this magnitude and even more! The glory of the latter shall surpass the former. (Psalm 66:4)
Get More Of Alice Kimanzi Songs HERE

LYRICS: LYRICS

Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda
Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda (x4)

Chorus:
Ayayayayayaya ayayayayayaya
Anipenda nami nampenda (x2)

Verse 2:
Machozi yangu kayafuta
Mizigo niliyo ibeba kanitua
(Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda)
Msaada wa karibu, rafiki aliye majibu
Yesu Eeh, nwaminifu kila siku
(Sitamuonea haya huyu Yesu Wangu
Anipenda nami nampenda)
Nilipoteseka dhambini kanihurumia (kanihurumia)
Kashuka toka mbinguni kaja kanihudumia (kanihudumia)
Kanitoa mavumbini, kaniketisha juu zaidi
Yesu Eeh, nampenda

Chorus:
Ayayayayayaya ayayayayayaya
Anipenda, nami nampenda (x4)

Bridge:
Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh) (x2)
Yeye anatupenda ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Yeye alitufia ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)

Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Yeye haibadiliki ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Ananitosha ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)
Ni mwaminifu ayoyoyo aeeh…
(Mungu ni mwema ayoyoyo aeeh)

Upendo kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Ushindi kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Neema kama yaka (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)
Uzima kama wako (wololo)
Sitapata kwingine (wololo)

Vamp:
Anapasua njia
(pasipokuwa na njia aah)
Mito ya maji
(katikati ya jangwa eeh) x2

Yesu wangu pasua njia
(pasua njia aah)…
Kwa masomo yangu Baba
(Pasua njia)
Pasua njia
(Pasua njia aah)…
Kwa jamaii yangu Yesu
(Pasua njia)
Pasua Njia
(Pasua njia aah)…
kwa Kazi yangu Baba
(Pasua njia)
Pasua Njia
(Pasua njia)
Kwa huduma yangu Yesu
(Pasua njia)
Pasua njia, pasua
(pasua njia aah)…
Pasua Yesu pasua
(Pasua njia)
Muweza yote pasua
(pasua njia aah)…
Pasua njia, pasua
(pasua njia aah)…
Immanueli pasua
(pasua njia aah…pasua njia)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

escort

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker