Waweza by Evelyn Wanjiru Mp3 Download

Download Evelyn Wanjiru – Waweza MP3 DOWNLOAD

Gospel Song Artist Evelyn Wanjiru realised powerful worship songs titled “Waweza” that will transform you, remain blessed.

Listen & Download Waweza Mp3 Download by Evelyn Wanjiru Below:-

DOWNLOAD MP3: Evelyn Wanjiru – Waweza

Waweza, This Gospel song you are about to listen to is highly inspired and sang by the leading of the Holyspirit through his servant to bless you. We have seen the Future! I can see the Whole world worshipping this JESUS!

The earth must be filled with the knowledge of the glory of the Lord as the waters cover the seas… This is my dream! A worship atmosphere of this magnitude and even more! The glory of the latter shall surpass the former.(Psalm 66:4)

LYRICS: LYRICS

Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Bwana Mungu wangu weh
Umenikomboa eh
Umeniwezesha mimi
Wewe ni mkuu
Ukaniita Kwa jina langu eh
Ukaniwezesha bwana eh
Nikuabudu bwana nikuimbie
Nilipokuwa kwenye dhambi
Ukanionyesha mwanga Mwanga
Wewe ni mwanga wangu bwana
Wewe ni mkuu.
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Bwana mungu wangu eh
Wewe ulimsaidia ayubu
Alipokuwa na shida nyingi
Bwana ulikuwa naye
Neno lako linasema
Unazo Fedha eh
Zote ni zako bwana
Wewe ni muweza
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Wewe ni muweza
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wakati ninazo shida
Na magonjwa
Bwana unasema
Tuliite jina lako
Wewe ndiye muweza
Wewe ndiye mwenye nguvu
Wewe ni kimbilio baba
Waweza mambo yote.
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Waweza waweza
Waweza mwokozi
Waweza mambo yote
Wewe mwaminifu
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza
Unaweza
Unaweza
Unaweza
Baba unaweza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

escort

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker