Foreign Gospel Songs
Usifiwe by Alice Kimanzi Mp3 DOWNLOAD
Alice Kimanzi – Usifiwe MP3 DOWNLOAD
Foreign Gospel Songs Artist Alice Kimanzi releases a powerful worship song titled “Usifiwe” that will bless you in a great way and refresh your soul.
This song is available on all Digital Music Distribution outlets worldwide, and also you can get it here on Impacttunes.
Listen & Download “Usifiwe Mp3 Download” by Alice Kimanzi Below:-
DOWNLOAD MP3 SONG
LYRICS: LYRICS
Vese 1:
Wewe ni mwema, wewe ni mwema
Mungu, wewe ni mwema
Juu yako, hakuna mwingine
Wewe ni mwema, usifiwe
Wewe waweza, wewe waweza
Mungu waweza
Juu yako hakuna mwingine
Wewe waweza, usifiwe
Chorus:
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Verse 2:
Wewe mshindi, wewe mshindi
Mungu, wewe mshindi
Wakati wa vita, wanipa ushindi
Wewe mshindi, usifiwe
Wewe watosha, wewe watosha
Mungu, wewe watosha
Wanitosheleza na sitaki mwingine
Wewe watosha, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Bridge:
Uhimidiwe, Mungu wa miungu
Wewe mwenye nguvu
Mungu mkarimu
Uhimidiwe, Mungu wa miungu
Wewe mwenye nguvu
Milele amina
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe