Umejua Kunifurahisha by Joel Lwaga ft. Chris Shalom Mp3 Download and Audio Lyrics
Umejua Kunifurahisha by Joel Lwaga ft. Chris Shalom Mp3 Song. African Gospel artist Joel A. Lwaga and Chris Shalom released a single with the live performance music video of the song titled “Umejua Kunifurahisha”
Stay blessed as you stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to drop your comment using the comment box below thanks.
Umejua Kunifurahisha BY Joel A. Lwaga Lyrics
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele .
Umerudisha tabasamu langu usoni
Umerejesha na furaha yangu moyoni
Umenijibu kwa wakati nisiyodhani
Baba umejua kunifurahisha
Niliyeitwa sina maana
Nimefanyika baraka
Niliyeonekana sifai, umeniheshimisha
Umenipa sababu ya kujijali
Yakukutukuza aah
Baba umejua kunifurahisha .
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele .
Chris Shalom:
Father to the fatherless
Look at what you’ve done for me
You wipe my tears from my eyes
Look at what you’ve done for me
The chains and shackles that held me down
You’ve got it out of me
Oh what a life, beautiful life given me
Baba umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele .
Baba umejua kunifurahisha
Baba umenifuta machozi
Daddy oh, umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu milele x2 .
Ooh umejua kunifurahisha (Babaa)
Umejua kunifurahisha (Babaa)
You’ve taken away the pain (Babaa oh)
Umeondoa huzuni yangu (Babaa oh)
Leave a Reply