
Alice Kimanzi – Sijabahatisha MP3 DOWNLOAD
Foreign Gospel Songs Artist Alice Kimanzi releases powerful worship song titled “Sijabahatisha” that will bless you in a great way and refresh your soul.
This song is available on all Digital Music Distribution outlets worldwide, and also you can get it here on Impacttunes.
Listen & Download “Sijabahatisha Mp3 Download” by Alice Kimanzi Below:-
DOWNLOAD MP3 SONG
LYRICS: LYRICS
Upendo wake ni hakika na kweli
Akipenda hawezi kuacha
Upendo wake ni hakika na kweli
Akipenda hawezi kubwaga
Kipi cha kututenga na Yesu
Akipenda hawezi kuacha
Sio njaa sio shida wala dhiki
Akipenda hawezi kuacha
Chorus:
Sijabahatisha kukutana na Baba
Anayenipenda huyo ni Mungu
Kabla sijampenda yeye alinipenda
Kabla sijazaliwa tayari alinijua
Nilipokuwa gizani yeye alinifia
Nilipokuwa mpotevu kwa upendo alinisaka
Uaminifu wake ni wa milele
Maana agano lake ladumu milele
Ukarimu wake ni wa milele
Na fadhili zake za dumu milele
Anaye ponya niye, Anaye okoa niye
Anaye huisha nasfsi yangu niye
Anaye inua niye, Anayetosha niye
Anaye ituliza dhoruba niye
Leave a Reply